6/recent/ticker-posts

Rais Shein Azungumza na Watendaji wa Wizara ya Mifugo na Uvuvi Zanzibar.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akiongoza kikao cha siku moja cha Wizara ya Mifugo na Uvuvi   kilichozungumziautekelezaji mpango kazi wa Wizara ya hiyo kwa kipindi cha mwezi Julai-Disemba 2014 katika ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar leo asubuhi
Baadhi ya Watendaji wa Wizara ya Mifugo na Uvuvi Idara zake mbali mbali  wakimsikiliza Waziri wa Wizara hiyo Abdilah Jihadi Hassan (hayupo pichani) alipokuwa  akitoa taarifa ya Wizara ya utekelezaji wampango kazi wa Wizara ya hiyo kwa kipindi cha mwezi Julai-Disemba 2014 katika ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar leo asubuhi chini ya Mwenyekiti wake Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,[Picha na Ikulu.]  

Post a Comment

0 Comments