6/recent/ticker-posts

Dk Shein Akiwa na Mgeni wake Rais wa Ujerumani Mhe Joachim Ikulu Zanzibar

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein  akizungumza na mgeni wake Rais wa Ujerumani Mhe,Joachim Gauck katika ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar alipofika na ujumbe wake leo akiwa katika ziara ya siku moja nchini,[Picha na Ikulu.]

Post a Comment

3 Comments

  1. Ikulu yetu imechoka. Takriban miaka yote kikona anachokaa Raisi wa Zanzibar na ujumbe wake ni hichi hichi. Hii taswira haivutii tena na imeanza kuchosha. Cha ajabu ikulu yetu naamini ina bajeti kubwa lakini pesa hazijulikani zinakwenda wapi. Aibu!!!!!!.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Naheshimu mawazo yako ndugu yangu ila nafikiri tunge-fucus kwenye utatuzi wa masuala nyeti zaidi ya kimaendeleo hiyo Ikulu hata ikijengwa nyengine mpya haitusaidii saana wananchi wa kawaida ila ni kuongeza ulaji kwa wakubwa na shida za kila siku zikabaki palepale. Hayo ni mawazo yangu tu.

      Delete