Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akizungumza na mgeni wake Rais wa Ujerumani Mhe,Joachim Gauck katika ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar alipofika na ujumbe wake leo akiwa katika ziara ya siku moja nchini,[Picha na Ikulu.]
KAYA FOUNDATION YAKABIDHI VITI MWENDO, BIMA ZA AFYA KWA WATOTO WENYE ULEMAVU
-
NA EMMANUEL MBATILO, DAR ES SALAAM
Taasisi isiyo ya kiserikali, Kaya Foundation, imekabidhi msaada wa viti
mwendo vitano vilivyotolewa na Ubalozi wa Ufaran...
3 hours ago

3 Comments
Ikulu yetu imechoka. Takriban miaka yote kikona anachokaa Raisi wa Zanzibar na ujumbe wake ni hichi hichi. Hii taswira haivutii tena na imeanza kuchosha. Cha ajabu ikulu yetu naamini ina bajeti kubwa lakini pesa hazijulikani zinakwenda wapi. Aibu!!!!!!.
ReplyDeleteNaheshimu mawazo yako ndugu yangu ila nafikiri tunge-fucus kwenye utatuzi wa masuala nyeti zaidi ya kimaendeleo hiyo Ikulu hata ikijengwa nyengine mpya haitusaidii saana wananchi wa kawaida ila ni kuongeza ulaji kwa wakubwa na shida za kila siku zikabaki palepale. Hayo ni mawazo yangu tu.
DeleteNi kweli kabisa
ReplyDelete