Mwakilishi wa Jimbo la Mpendae Mhe Said Mohammed Dimwa akizindua kisima cha Maji Safi na Salama kilichochimbwa na Kampuni ya Bia Tanzania TBL, kulia Meneja Uhusiano wa TBL Doris Malulu. uzinduzi huo umefanyika huko mpendae Zanzibar.
“WCF, NIT Waungana Kupunguza Ajali Barabarani na Kulinda Nguvu Kazi ya
Taifa”
-
Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Fidia kwa Wafanyakazi (WCF), Dkt. John Mduma,
amesema kuwa ushirikiano kati ya WCF na Chuo cha Taifa cha Usafirishaji
(NIT) u...
7 hours ago
0 Comments