Ujumbe wa Manispaa ya Kiruna, Sweden waanza ziara ya kikazi Makunduchi ambapo wametembelea eneo linalopendekezwa kujengwa Chuo cha biashara, kitengo cha chuo kikuu huria cha Tanzania, maktaba ya kisasa na vitengo vyengine vya kutoa elimu. Kwenye picha muwekezaji mzalendo wa Makunduchi ndugu Ali Jussa akimuonyesha eneo la kujengwa chuo hicho ndugu Ove mwenye miwani nyeusi. Ndugu Ove ni mkuu wa miradi ya mashirikiano kati ya wadi za Makunduchi na Manispaa ya Kiruna. Wengine katika picha ni wajumbe wa Kamati ya wadi za Makunduchi
WANAWAKE 200 WAPATIWA MAFUNZO YA USIMAMIZI WA MIRATHI TEGETA
-
NA EMMANUEL MBATILO, DAR ES SALAAM
CHUO Kikuu Mzumbe, Ndaki ya Dar es Salaam katika kituo chake cha Tegeta,
kimetoa elimu ya uelewa kwa wanawake 200 kuhusu...
4 minutes ago


0 Comments