MCHEZAJI wa Timu ya Wazee wa
Chake Chake aliyejulikana kwa jina moja tu kisoda mwenye mpira, akitafuta mbinu
za kumpita mlinzi wa timu ya ZAWA, mchezo huo uliopigwa katika kiwanja cha Wawi
Ster huku timu hizo kufungana goli 1-1.(Picha
na Abdi Suleiman, PEMBA.)
TANZANIA NA ALGERIA KUIMARISHA USHIRIKIANO WA OLIMPIKI
-
Balozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nchini Algeria, Mhe. Iman
Njalikai, alikutana na kufanya mazungumzo na Rais wa Chama cha Kamati za
Kitaifa za Oli...
1 hour ago
0 Comments