6/recent/ticker-posts

Kitengo cha Maradhi ya Kichocho Kikifanya Uchunguzi wa Maradhi hayo katika Shehia za Unguja.

Afisa wa Kitengo cha Kupambana na Kichocho Zanzibar Ndg Mahfoudh Mbarouk,akichukua maelezo kwa Mwananchi wa Shehia ya Kilimahewa Unguja kwa mwananchi Ndg Mohammed Ibrahim, wakati wa zoezi hilo la kupia wananchi haja ndogo kama wana maambukizi ya kichocho, minyoo na maradhi matende, Zoezi hilo linafanyika katika semehu mbalimbali likiwa limeazia katika shehiya ya Kilimahewa   

Post a Comment

0 Comments