WAFANYAKAZI wa Kikosi cha Zimamoto na Uokozi Kisiwani Pemba, wakiwa juu ya Paaa la nyumba inayomilikiwa na Kombo Othaman, iliyoko maeneo ya Makondeko Machomanne wakitoa msaada wa kuzima moto uliounguza chumba cha watoto katika nyumba hiyo.(Picha na Abdi Suleiman, PEMBA.)
DKT. CHAYA: UWEKEZAJI WA VIWANDA NI NGUZO YA AJIRA, MASOKO YA WAKULIMA NA
UCHUMI WA TAIFA
-
Mkurugenzi Mtendaji wa Jambo Group of Companies, Mhe. Salum Khamis akieleza
hatua za uzalishaji pamoja na uwekezaji uliofanyika kiwandani.
Mkurugenzi wa K...
4 hours ago
0 Comments