KIJIKO cha Baraza la Manispa Zanzibar likilifanyia usafi moja ya jaa katika
maeneo ya mitaa ya michezani na
misufini, ili kuweka mazingira safi ya eneo hilo, hasa ikizingatiwa kipindi hichi cha mvua za masiki zikiaza
kunyesha. Taka hizo zinaweza kuleta madhara kwa wakaazi wa eneo hilo
TANZANIA NA ALGERIA KUIMARISHA USHIRIKIANO WA OLIMPIKI
-
Balozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nchini Algeria, Mhe. Iman
Njalikai, alikutana na kufanya mazungumzo na Rais wa Chama cha Kamati za
Kitaifa za Oli...
3 hours ago
0 Comments