MSHAMBULIAJI wa timu ya Umeme ya Kiuyu Hamad
Muhidini akiwatoka walinzi wa timu ya Super Falcon, katika mchezo wa ligi
daraja la pili taifa Pemba mchezo uliopigwa katika uwanja wa Ngerengere Umeme
ilishinda 1-0,(Picha na Ameir Khalid, PEMBA).
DKT. CHAYA: UWEKEZAJI WA VIWANDA NI NGUZO YA AJIRA, MASOKO YA WAKULIMA NA
UCHUMI WA TAIFA
-
Mkurugenzi Mtendaji wa Jambo Group of Companies, Mhe. Salum Khamis akieleza
hatua za uzalishaji pamoja na uwekezaji uliofanyika kiwandani.
Mkurugenzi wa K...
7 hours ago
0 Comments