6/recent/ticker-posts

Manispaa Chake Chake wakiwajibika

LICHA ya Mvua zinazoendelea kunyesha kisiwani Pemba, suala la usafi wa miji limekuwa likipewa uzito wa hali ya Juu, pichani gari la baraza la mji Chake Chake likibeba taka katika maeneo ya katikaki ya mji kama lilinavyoonekana katika picha.(Picha na Abdi Suleiman, PEMBA.)

Post a Comment

0 Comments