Mchezaji wa Timu ya Usolo Munir akimpita mchezaji wa Timu ya JKU Omar wakati wa mchezo wao wa Ligi ya Kikapu Kanda ya Unguja mchezo uliyofanyika uwanja wa Mao Zedong.katika mchezo huo Timu ya JKU imeshinda mchezo huo kwa Vikapu 69-40.
DC SUMAYE AIPONGEZA TFS KUANDAA MAGAMBA WALKATHON
-
Na Oscar Assenga, LUSHOTO.
MKUU wa wilaya ya Lushoto Mkoani Tanga Zephania Sumaye ameipongeza Hifadhi
ya Mazingira Asili ya Magamba wilayani Lushoto ...
35 minutes ago














0 Comments