Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba akikagua maendeleo ya ujenzi wa Bandari ya Uvuvi iliyopo Kilwa Mkoani Lindi, Desemba 19, 2025. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Muonekano wa Bandari ya Uvuvi iliyopo Kilwa Mkoani Lindi ambayo ujenzi wake umefikia asilimia 90 na utagharimu kiasi cha Shilingi bilioni 280 pale utakapokamilika. Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba amekagua maendeleo ya ujenzi huo Desemba 19, 2025. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)






0 Comments