6/recent/ticker-posts

Balozi Omar Apokea Ujumbe Maalum kutoka Qatar


 Waziri wa Fedha, Mhe. Balozi Khamis Mussa Omar (Mb)(kulia), akipokea ujumbe maalum kutoka kwa Balozi wa Qatar nchini, Mhe. Fahad Rashid Al-Marekhi, na baadae kufanya mazungumzo kuhusu masuala mbalimbali ya ushirikiano wa kiuchumi kati ya Tanzania na Qatar, mazungumzo yaliyofanyika katika Ofisi Ndogo za Wizara ya Fedha, jijini Dar es Salaam


(Picha na Kitengo cha Mawasiliano Serikalini, WF, Dar es Salaam)

Post a Comment

0 Comments