MRATIBU wa Mamlaka ya mafunzo ya amali Pemba
mwalimu Juma Suleiman, akimkabidhi mmoja wa waalimu wa vyuo mbali mbali ambao
wamemaliza mafunzo yao ya siku kumi ya kuwapa mbinu waalimu ya usomeshaji na
utungaji mitihani kitaalamu (picha na Haji Nassor, Pemba)
MBUNGE RWAKATARE AWATEMBELEA MABINTI 300 FDC IFAKARA, AWAPATIA MAHITAJI
MUHIMU
-
Mhe Mbunge wa Jimbo la Mlimba,Dkt KellenRose Rwakatare, ametembelea mabinti
300 wanaosoma katika Chuo cha Maendeleo FDC Ifakara na kuwapatia mahitaji
mbali...
1 hour ago
0 Comments