KATIBU wa Chama cha ACT Wazalendo Jimbo la Wawi,
Mariyam Juma Kombo, akishikilia vizuri mliNgoti wa bendera kuashiria kuzindua
tawi la chama chake huko Wawi kibengi kisiwani Pemba.(Picha na Abdi Suleiman, PEMBA.)
HESLB yaanza kupokea maombi ya mikopo Diploma
-
Na: Mwandishi Wetu, DAR
Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) imeanza rasmi kupokea
maombi ya mikopo kwa wanafunzi wa elimu ngazi ya Stash...
4 hours ago
0 Comments