Mwenyekiti wa Jimbo la Tunguu Khatibu Ramadhan Iddi akizunguza na wana CCM wa kijiji cha Binguni kabla ya kumkaribisha mgeni rasmin kuwanadi wagombe wa Jimbo la Tunguu Mkoa wa Kusini Unguja.
Mwenyekiti mstaafu wa CCM Jimbo la Koani ambae ni mgeni rasmin kwenye Mkutano huo, Mussa Ali Hassan akiwatambulisha wagombea udiwani wa wadi ya Bungi, Ubago na Ungujaukuu katika Mkutano uliofanyika Wilaya ya Kati Binguni Mkoa wa Kusini Unguja.
Baadhi ya wananchi waliofika kwenye Mkutano huo wakiwasikiliza wagombea wao.
Mwenyekiti mstaafu wa CCM Jimbo la Koani ambae ni mgeni rasmin Mussa Ali Hassan akimtambulisha mgombea Uwakilishi Jimbo la Tunguu Simai Mohammed Said.
Mgombea Uwakilishi Jimbo la Tunguu Simai Mohammed Saidi akizungumza na wanachama wa CCM waliohudhuria Mkutano wa kampeni uliofanyika kijiji cha Binguni Wilaya ya Kati Unguja.
Mgeni rasmi akimtambulisha mgombea Ubunge Jimbo la Tunguu Khalifa Salim Suleiman katika mkutano wa kampeni uliofanyika Binguni.
0 Comments