Moja ya Utamaduni wa Zenj ni kofia ya Kiua Wazee wa Zamani walilikuwa ni moja ya vazi lao wakati wa Jioni na siku za kawaida huvaa kofia na kazu ya darzi wakiwa wameshika bakora na viatu vya makubazi ndio vyazi la asili ya Zanzibar. Bei ya Kofia hizi sasa zimekuwa na bei ya juu kuazia shilingi Elfu Hamsini na kuendeldea kutegemeana na kofia yenyewe ikiwa na mji gani.
DKT. MAULID ASISITIZA ITIFAKI NA TABIA NJEMA KWA VIONGOZI WA ELIMU
-
Mkutano Mkuu wa 12 wa Umoja wa Maafisa Elimu wa Mikoa na Halmashauri
Tanzania Bara (REDEOA) umeendelea kufanyika jijini Arusha kwa siku saba
tangu ulipofun...
50 minutes ago
0 Comments