6/recent/ticker-posts

Matukio Mitaani Zenj

 Mfanyabiashara katika eneo la darajani akifanya usafi kuondoa maji ya mvua baada ya kumalizika kwa mvua iliokuwa ikinyesha asubuhi ya leo ili kuweza kufanya biashara yake katika mazingira mazuri. 
Wafanyakazi  wa Kampuni  inayosimamia mradi wa uwekaji wa taa za kisasa katika barabara ya amani wakichimba mitaro kwa ajili ya uwekaji wa waya kwa ajili ya kuwekea taa hizo za Solar katika barabara hiyo

Post a Comment

0 Comments