Hatimai Ule Muembe Njuguu ukistawi baada ya kupanda muembe huo hivi karibuni kurejesha ile mandhari ya eneo hili enzi hizo kulikuwa na muembe katika barabara hii inayounganisha barabara za mikunguni na kwenda kwa Mohamemd Ali na kwenda kwa Boko ukiwa katika hali hiyo na tayari ukiwac umeshakoa embe za mzao wa kwanza. ili kurejesha historia ya muembe huu.
MAGEUZI YA KIDIJITALI SERIKALINI YAIPAISHA TANZANIA KIMATAIFA
-
Na Mwandishi wetu.
Tanzania imeendelea kung’ara kimataifa baada ya Benki ya Dunia (World Bank
- WB) kuitaja kuwa miongoni mwa nchi zilizo na ukomavu wa ...
3 minutes ago
0 Comments