6/recent/ticker-posts

Refa Mfaume Ali Nassor miongoni mwa walioteuliwa kupuliza Firimbi mashindano ya CECAFA Ethiopia

Mwamuzi wa soka mwenye beji ya FIFA kutoka Zanzibar Mfaume Ali Nassor amefanikiwa kuwa miongoni mwa waamuzi walioteuliwa na CECAFA kupuliza filimbi kwenye mashindano ya Challenge nchini Ethiopia.

LIST OF CECAFA REFEREES AND ASSISTANTS
REFREES

1.Bezezew Haileyasus – Ethiopia 2.Djamal Aden- Djibouti 3.Mahmood Ali Mahmood- Sudan 
4.Israel Mpaima – Kenya 5.Bakasemmbe Rajab- Uganda 6.Nasoro Mfaume Ali – Zanzibar 
7.Twagirumukiza Abdoul – Rwanda 8.Hassan Mohammed – Somalia 9.Eric Gasinzigwa- Burundi

ASSISTANT REFEREES
1.Belachew Tigle – Ethiopia 2.Aweis Abdulahi – Somalia 3.brahim Abdallah –Sudan 
4.Gilbert Cheruiyot – Kenya 5.Ngobi Balikowa – Uganda 6.Frank Komba – Tanzania 
7.Gassim Abdallah- South Sudan 8.Hakizima Ambrose- Rwanda- 9.Betayew Belachew- Ethiopia

kwa hisani ya Ali Bakari/Facebook

Post a Comment

0 Comments