Beki wa Timu ya Mtende akiokoa mpira golini kwake huku kipa wa timu hiyo akiwa tayari kutowa msaada wakati wa mchezo wa Ligi Kuu ya Zanzibar mchezo uliofanyika uwanja wa Amaan Zanzibar Timu ya Polisi imeshinda bao 2--0.
Mchezaji wa Timu ya Polisi na Mtende wakiwania mpira wakati wa mchezo wao wa Ligi Kuu ya Zanzibar uliofanyika Uwanja wa Amaan Zanzibar.
Mshambuliaji wa Timu ya Polisi akimiliki mpira wakati wa mchezo wao wa Ligi Kuu ya Zanzibar uliofanyika uwanja wa Amaan Timu ya Polisi imeshinda 2--0.
Mshambuliaji wa Timu ya Polisi akiwapita Mabeki wa Timu ya Mtende.
Mshambuliaji wa Timu ya Polisi akiwapita mabeki wa Timu ya Mtende wakati wa mchezo wao wa Ligi Kuu ya Zanzibar uliofanyika Uwanja wa Amaan Zanzibar Timu ya Polisi imeshinda 2--0.
0 Comments