Wapenzi wa mchezo wa mpira Zanzibar wakifuatilia mcka mchezo huo Timu ya Jangombe Boys imeshinda 2--1 dhidi ya wapinzani wao Timu ya KMKM, magoli ya Jangombe Boys yamefungwa katika dakika ya 14 ya kipindi cha kwanza na mchezaji Hafidh Barik na la pili limefungwa na mchezaji Ramad Khamis katika dakika ya 74 ya mchezo kipindi cha pili na goli la kufutia machozi la Timu ya KMKM limefungwa na mchezaji Amour Ali katika dakika ya 79 ya mchezo huo kipindi cha pili.
MEYA KIBAHA KUTOA ZAIDI YA MILION 18 KUCHIMBA VISIMA VINNE KUPUNGUZA KERO
YA MAJI PANGANI
-
Na Mwamvua Mwinyi, Kibaha Disemba 22, 2025
Baadhi ya wananchi wa Mtaa wa Kidimu, Kata ya Pangani, Halmashauri ya
Manispaa ya Kibaha wanakabiliwa na uhaba...
3 hours ago
0 Comments