Mfanyakazi wa Baraza la Manispa Zanzibar akilifungia gari ambayo imeegeshwa katika maeneo yasiyoruhusiwa kuegesha magari katika eneo la Darajani. Kosa hili faini yake hutozwa shilingi 20,000/=
MBUNGE RWAKATARE AWATEMBELEA MABINTI 300 FDC IFAKARA, AWAPATIA MAHITAJI
MUHIMU
-
Mhe Mbunge wa Jimbo la Mlimba,Dkt KellenRose Rwakatare, ametembelea mabinti
300 wanaosoma katika Chuo cha Maendeleo FDC Ifakara na kuwapatia mahitaji
mbali...
1 hour ago
0 Comments