Mkuu wa Wilaya ya Chake Chake Pemba, bibi Hanuna Ibrahim Massoud, akifunguwa Warsha juu ya Tathmini ya Miradi inayotekelezwa na MIVARF , juu ya mpango wa huduma za fedha Vijijini huko katika ukumbi wa Misali Sunset Beach , Chake Chake Pemba.
Baadhi ya Washiriki wa Warsha hiyo wakifuatilia kwa makini hotuba ya Mkuu wa Wilaya ya Chake Chake , bibi Hanuna Ibrahim Massoud.(Picha na Bakar Mussa -Pemba.)


0 Comments