Moto mkubwa unaendelea kuwaka mitaa ya Kiponda mjini Unguja jirani na msikiti wa Shia Ithnasheria. Jitihada za kuuzima moto huu zinaendelea ila jitihada za ziada zinahitajika za msaada wa magari ya maji baada ya Magari ya zimamoto kuishiwa na maji na kwenda kuyafuata wakati wakijaribu kuuzima moto huo.
SERIKALI MKOA WA KAGERA KUENDELEA KUIUNGA MKONO TAAWANU KUWASAIDIA MAYATIMA
-
Serikali kupitia Mkuu wa Mkoa wa Kagera, Kanali Yahaya Ramadhani Kido,
imesema itaendelea kuiunga mkono Taasisi ya Taawanu katika juhudi zake za
kuwajali...
24 minutes ago



1 Comments
Hii habari mbona hatujapata update zozote? Au ndo umeme haujarudi bado?
ReplyDelete