Moto mkubwa unaendelea kuwaka mitaa ya Kiponda mjini Unguja jirani na msikiti wa Shia Ithnasheria. Jitihada za kuuzima moto huu zinaendelea ila jitihada za ziada zinahitajika za msaada wa magari ya maji baada ya Magari ya zimamoto kuishiwa na maji na kwenda kuyafuata wakati wakijaribu kuuzima moto huo.
TCAA YAIMARISHA USALAMA WA ANGA KWA MIFUMO YA KISASA
-
Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania (TCAA) imesema imejizatiti kuendana na
mabadiliko ya teknolojia duniani, ikiwemo matumizi ya Akili Mnemba (AI),
ili ...
8 minutes ago



1 Comments
Hii habari mbona hatujapata update zozote? Au ndo umeme haujarudi bado?
ReplyDelete