Zoezi la kudhibiti uingiaji wa magari katika Mji Mkongwe wa Zanzibar laaza kazi katika barabara hizo zilioko katika Mji Mkongwe kwa kuziweka kuwa njia moja kwa kwenda tu.Hii ni moja ya barabara hizo ilioko katika eneo la mzunguko wa barabara ya kuingia Bandarini kwenda Forodhani tayari limeanza kutumia na kupunguza msongamano wa magari katika eneo la kuingia katika bandari eneo la abiria wa boti za kwenda Dar kama linavyoonekana pichani likiwa katika hali ya utulivu wa msongamano wa magari kama lilivyozoeleka hapo awali.
TRA DODOMA YATOA MKONO WA EID KWA WATOTO YATIMA, YAIMARISHA UPENDO NA
MSHIKAMANO
-
Kaimu Meneja wa Mkoa wa TRA Dodoma, Bw. Obrey Sillayo, akiambatana na Kaimu
Meneja wa Huduma kwa Mlipakodi pamoja na maafisa wengine wa Mamlaka ya
Mapato...
18 minutes ago
0 Comments