Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akizungumza na Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Sheria na Katiba Ndugu Amon Mpanju wakati Naibu Mpanjo alipofika Ofisini kwa Makamu wa Rais Ikulu Dar es salaam leo March 31, 2016.(Picha na OMR)
Yanga Kukutana na Al Ahly Jumamosi Zanzibar, Polisi Waahidi Ulinzi Mkali
-
Na Mwandishi Wetu
MASHABIKI wa soka nchini Tanzania wanatarajiwa kushuhudia mchezo mkubwa wa
kimataifa siku ya Jumamosi, tarehe 31 Januari 2026, ambapo k...
29 minutes ago
0 Comments