6/recent/ticker-posts

Inna lillahi wa inna ilayhi raji’un. Joseph Abdallah Meza


 Mwenyekiti wa Bodi ya Shirika la Bandari na Benki ya Watu wa Zanzibar (PBZ), Ndg. Joseph Abdallah Meza, amefariki dunia.

Taarifa zaidi kuhusu msiba huu na mipango ya mazishi itaendelea kutolewa hivi punde. 

Mwenyezi Mungu ailaze roho ya marehemu mahala pema peponi. Inna lillahi wa inna ilayhi raji’un.

Post a Comment

0 Comments