Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt. Mwigulu Nchemba akisalimiana na Waziri Mkuu Mstaafu wa Tanzania Mhe. Frederick Sumaye alipofika ofisini kwa Waziri Mkuu Mlimwa jijini Dodoma.
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt. Mwigulu Nchemba akizungumza na Waziri Mkuu Mstaafu wa Tanzania Mhe.Frederick Sumaye ofisini kwa Waziri Mkuu Mlimwa jijini Dodoma, Januari 28, 2026.
(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
0 Comments