6/recent/ticker-posts

WAZIRI WA HABARI AKUTANA NA WADAU WA HABARI ZANZIBAR.

 

-Waziri wa Habari Sanaa Utamaduni na Michezo Dkt,Riziki Pembe Juma akitoa hotuba ya Ufunguzi wa Mkutano wa Wadau wa Habari kuzungumzia Changamoto na mambo mbalimbali yanayohusu Sekta hio hafla iliofanyika katika Ukumbi wa ZSSF Kariakoo Mjini Zanzibar.
Baadhi ya Viongozi wa Taasisi za Habari waliohudhuria katika Mkutano wa Wadau wa Habari kuzungumzia Changamoto na mambo mbalimbali yanayohusu Sekta hio hafla iliofanyika katika Ukumbi wa ZSSF Kariakoo Mjini Zanzibar.

Waziri wa Habari Sanaa Utamaduni na Michezo Dkt,Riziki Pembe Juma akibadilishana Mawazo na Katibu Mkuu Wizara ya Habari Sanaa Utamaduni na Michezo Mattar Zahor Masoud mara baada ya kuwasili katika Mkutano wa Wadau wa Habari kuzungumzia Changamoto na mambo mbalimbali yanayohusu Sekta hio hafla iliofanyika katika Ukumbi wa ZSSF Kariakoo Mjini Zanzibar.

Naibu Waziri Wizara ya Habari Sanaa Utamaduni na Michezo Ali Abdulgulam Hussein akitoa hotuba na kumkaribisha Mgeni Rasmi katika hafla ya Mkutano wa Wadau wa Habari kuzungumzia Changamoto na mambo mbalimbali yanayohusu Sekta hio hafla iliofanyika katika Ukumbi wa ZSSF Kariakoo Mjini Zanzibar.
Katibu Mkuu Wizara ya Habari Sanaa Utamaduni na Michezo Mattar Zahor Masoud akizungumza wakati wa Mkutano wa Wadau wa Habari kuzungumzia Changamoto na mambo mbalimbali yanayohusu Sekta hiyo hafla hiyo iliyofanyika katika Ukumbi wa ZSSF Kariakoo Mjini Zanzibar.

Mkurugenzi wa Habari Maelezo Salum Ramadhan Abdalla akitoa hotuba ya Makaribisho katika  Mkutano wa Wadau wa Habari kuzungumzia Changamoto na mambo mbalimbali yanayohusu Sekta hio hafla iliofanyika katika Ukumbi wa ZSSF Kariakoo Mjini Zanzibar.


Mwalimu na Mwandishi wa Habari Aiman Osmond Duwe akitoa Maoni yake katika Mkutano wa Wadau wa Habari kuzungumzia Changamoto na mambo mbalimbali yanayohusu Sekta hio hafla iliofanyika katika Ukumbi wa ZSSF Kariakoo Mjini Zanzibar.

Mdau wa Habari na Mkurugenzi wa Zanzibar Cable TV Mohamed Abdalla akisisiiza jambo wakati akitoa Maoni yake katika Mkutano wa Wadau wa Habari kuzungumzia Changamoto na mambo mbalimbali yanayohusu Sekta hio hafla iliofanyika katika Ukumbi wa ZSSF Kariakoo Mjini Zanzibar.

Mkurugenzi Mstaafu na Mwanahabari Mkongwe Enzi Talib akitoa Maoni yake katika Mkutano wa Wadau wa Habari kuzungumzia Changamoto na mambo mbalimbali yanayohusu Sekta hio hafla iliofanyika katika Ukumbi wa ZSSF Kariakoo Mjini Zanzibar.

Mdau wa Habari na Muandishi wa Habari Mkongwe Bi Maryam Hamdani  akitoa Maoni yake katika Mkutano wa Wadau wa Habari kuzungumzia Changamoto na mambo mbalimbali yanayohusu Sekta hio hafla iliofanyika katika Ukumbi wa ZSSF Kariakoo Mjini Zanzibar.



Post a Comment

0 Comments