Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akifuatilia kwa makini ufunguzi wa mkutano wa 27 kwa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Nchi Wanachama wa Umoja wa Afrika AU ulioanza jana katika Ukumbu wa KCC mjini Kigali Rwanda. Makamu wa Rais amemuwakilisha Rais John Magufuli kwenye mkutano huo. (Picha na OMR)
DC ITUNDA ASHUSHA MAAGIZO YA RC MALISA IVUME SEKONDARI
-
-Ammwagia sifa Rais Dkt Samia kwa Mapinduzi ya elimu
NA MWANDISHI WETU, MBEYA
MKUU wa Wilaya ya Mbeya, Mhe. Solomon Itunda, amewataka wahitimu wa kidat...
2 hours ago

0 Comments