Waziri wa Fedha na Mipango, Mhe Khalid Salum Mohammed akiangalia na kupokea taarifa za ujenzi wa Ofisi ya Baraza la mji Chakechkae Pemba wakati alipotemnbelea jengo hili. Picha na Haji Nassor , Pemba
SWADAKA NI NGAO NA KINGA YA MADHAMBI KWA MWENYE KUITOA KWA AJILI YA ALLAH –
MISANGA
-
Taasisi ya Ramadhan Charity Programme 2026 imewataka Watanzania kutumia
mwezi mtukufu wa Ramadhani kuwa wamoja, kusaidiana na kufanya kazi kwa
pamoja ka...
53 minutes ago
1 Comments
sasa mumeamua kuwajengea wapemba kwa bakora mumeona hawafahamu?
ReplyDelete