ASKARI wa Usalama wa Barabarani kutoka kituo cha
Polisi Madungu Chake Chake, akikagua moja ya Vielelezo vya mwendesha Vespa
vinavyomruhusu kuendesha chombo barabarani, wakati wa ukaguzi uliofanywa na
jeshi hilo hivi karibuni Kisiwani Pemba.(Picha
na Abdi Suleiman, PEMBA.)
TANZANIA YANG'ARA DUNIANI NI TUZO KWA KWENDA MBELE NA UTALII
-
SEKTA ya utalii nchini Tanzania imeendelea kushuhudia ukuaji mkubwa na wa
kihistoria, ikichochewa na jitihada za makusudi za Serikali ya Awamu ya
Sita.
T...
3 minutes ago
0 Comments