Watalii wanaotembelea Zanzibar wakiwa katika ufukwe wa pwani ya forodhani wakijiandaa kuelekea katika kisiwa cha changuu kwa ajili kutembelea kisiwa hicho kujionea historia ya kisiwa hicho. Zanzibar ikiwa na vivutio vingi vya Utalii.
KITUO CHA UMAHILI MLOGANZILA KUIMARISHA HUDUMA ZA MOYO, KINYWA NA MENO
-
Na Karama Kenyunko Michuzi Tv
UJENZI wa kitengo cha kutoa huduma za kinywa na meno katika Chuo Kikuu cha
Afya na Sayansi Shirikishi Muhimbili (MUHAS) Kamp...
8 hours ago
0 Comments