Wafanyakazi wa Baraza la Manispaa Zanzibar wakifanya usafi katika eneo la kijangwani baada ya kuhama wafanyabiashara za mbao katika eneo hilo ili kupita ujenzi wa kituo cha kisasa cha daladala katika eneo hilo zamani kulikuwa na kituo cha mabasi.
WIZARA YA AFYA YASIKITISHWA NA WANAOTAPELI KWA JINA LA MCHENGERWA
-
WIZARA ya Afya imesikitishwa na kitendo cha baadhi ya watu wenye nia ovu
ambao wamekuwa wakitumia jina la Waziri wa Afya, Mhe. Mohamed Omary
Mchengerwa ku...
35 minutes ago
1 Comments
Tunaishukuru serikali, najua piapatajengwa na maduka, isije kuwekwa office za kisiasa tu,serikali itakuwa haitutendei haki,jengine kabla ya ujenzi tupate hio planning ya kituo tutoe maoni yetu
ReplyDelete