Mh. Juma Ali Juma akionesha fomu ya kugombea Ubunge wa Jimbo la Dimani Kwa tiketi ya Chama cha CCM ,mara tuu baada ya kuchukuwa katika Ofisi za muda za tume ya Taifa ya uchaguzi (NEC) ziliopo Skuli ya Sekondari ya Kiembe samaki. Kulia ni Ali Suleiman Shihata, kushoto wa mwanzo Abdalla Faki Mwenyekiti wa ccm Wilaya ya diman kichama, alovaa kofia ni Mjumbe Msuri Mjumbe Mwenyekiti wa wilaya ya Mfenesini kichama
TANZANIA YASHIKA NAFASI YA NNE KWA UWEKEZAJI SEKTA YA MADINI AFRIKA
-
▪️Ni ya 4 barani Afrika, nyuma ya Botswana, Morocco na Zambia
▪️Alama ya Tanzania yapanda hadi 68.04 mwaka 2025 kutoka 62.75 (2024) na
46.38 (2023)
▪️Ta...
41 minutes ago
0 Comments