Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akimuapisha Dk.Sira Ubwa Mamboya kuwa Mjumbe wa Baraza la Mapinduzi (BLM) na Waziri asiyekuwa na Wizara Maalum,katika hafla iliyofanyika leo Ikulu Mjini Unguja,[Picha na Ikulu.] 23/01/2017.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akimuapisha Bi,Zainab Omar Mohamed kuwa Mshauri wa Rais Masuala ya Jamii Wazee Wanawake na Watoto,katika hafla iliyofanyika leo Ikulu Mjini Unguja,[Picha na Ikulu.] 23/01/2017.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akimuapisha Dk.Mauwa Abeid Daftari kuwa Mshauri wa Rais -Pemba katika hafla iliyofanyika leo Ikulu Mjin Unguja,[Picha na Ikulu.] 23/01/2017.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akimuapisha Bi Rahma Ali Khamis kuwa Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Nchi Ofisi ya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi ,katika hafla iliyofanyika leo Ikulu Mjin Unguja,[Picha na Ikulu.] 23/01/2017.
RC SENDIGA APINGA TAKWIMU ZA DAWA MANYARA
-
Na Mwandishi Wetu, Manyara.
MKUU wa Mkoa wa Manyara, Mhe. Queen Sendiga, amepinga takwimu zinazoonesha
kuwa upatikanaji wa huduma za dawa mkoani humo ume...
0 Comments