Timu za Wilaya ya Wete Pemba na ya Wilaya ya Mjini Unguja zilizofanikiwa kuingia Fainali ya Michuano ya Kombe la Watoto ZBC Watoto Mapinduzi Cup U-17 wakiwa katika uwanja wa Amaan Zanzibar wakisubiri kuanza kwa mchezo wao wa Fainali uliofanyika Uwanja huo. Na Timu ya Wete kuibuka kidedea kwa mikwaju ya penenti 5-3 na kutawazwa rasmi kwa mara ya kwanza kwa kuanza kwa michuano hiyo ilioratibiwa na Shirika la Utangazaji Zanzibar ZBC chini ya Mkurugenzi wake Mkuu Bi. Imani Duwe. kwa misingi ya kuinua kiwango vipaji vya mchezo huo kupitia kwa watoto mbali Zanzibar
Michezo : New King Imeichapa Malindi Bao 2-1
-
Mchezaji wa Timu ya Malindi akimiliki mpira akijiandaa kumpita beki wa Timu
ya New King, katika mchezo wa Ligi Kuu ya PBZ Zanzibar 2-25 /2026 mchezo
uliyo...
0 Comments