BADO baadhi ya wazazi
wamekuwa wakipuuzia suala la kuwadhibiti watoto wao, kwenye biashara na hasa
wakati wa masomo, kama kamera yetu ilivyowanasa watoto hao, nje ya soko jipya
la mjini Wete Mkoa wa kaskazini Pemba, wakiuza mboga aina ya Mchicha, (Picha na Haji Nassor, Pemba).
UWEKEZAJI WA SAMIA KWENYE SAYANSI KUENDELEA: WANAFUNZI 16 KUSOMEA DATA
SCIENCE NA AI AFRIKA KUSINI
-
Na Karama Kenyunko Michuzi Tv
SERIKALI kupitia Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia imeanza utekelezaji
kwa vitendo wa agizo la Rais Samia Suluhu Hassan...
1 hour ago
0 Comments