| Waziri Mkuu, Mhe. Kassim Majaliwa Majaliwa akimkaribisha Mhe. Rais Erdogan mara baada ya kuwasili katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere. |
| Mhe. Rais Erdogan akisalimia sehemu ya vikundi vya ngoma vilivyokuwa vikitumbuiza uwanjani hapo wakati alipowasili. |
| Wakiendelea kutumbuiza. |
0 Comments