Kampuni inayosimamia uwekaji wa Camera za CCTV barabarani Zanzibar ili kudhibiti ajali za barabarani na kwa maderevya wanaotumia barabara hiyo kuwabaini wakati wanapofanya makosa hayo wakiwa katika maeneo ya barabara na kukimbia baada ya kufanya makosa. wakiwa katika zoezi hilo katika makutano ya barabara Kiembesamaki kwenda Fumba.
SAFARI YA KUZAA NA KUHAMA KWA NYUMBU YATUA FITUR HISPANIA
-
Na Mwandishi wetu.
Wizara ya Maliasili na Utalii kupitia taasisi zake inaendelea kunadi
vivutio vya utalii vilivyopo Tanzania katika maonesho ya FITUR
y...
35 minutes ago
0 Comments