6/recent/ticker-posts

Mvua za masika zaneemesha biashara ya miche ya minazi kisiwani Pemba



BIASHARA ya Minazi katika kipindi hiki cha Mvua zinazoendelea Kisiwani Pemba, imekuwa maradufu ambapo mche mmoja huuzwa kati ya 2,500/= hadi shilingi 3,000/=, pichani gari aina ya keri ikiwa imepakia miche hiyo katika soko la Matunda Chake Chake.(PICHA NA ABDI SULEIMAN,PEMBA).

Post a Comment

0 Comments