6/recent/ticker-posts

Mvua za Masika Zikiendelea katika mitaa ya Zenj

 Mvua za masiki zinazoendelea kunyesha katika maeneo ya mji wa unguja baadhi ya maeneo imesababisha kuanguka kwa miti kama unavyoonekana muembe huu ulianguka katika barabara ya maruhubi na kuzuiya njia hiyo kupitika kwa Muda hadi ulipokatwa na kurejesha huduma hiyo
Go


Post a Comment

0 Comments