Wananchi katika Wilaya ya Chakechake Kisiwani Pemba wanaiomba taasisi husiku kulivunja jengo hili lililojengwa na mkandarasi likiwa chini ya kiwango cha ujenzi wake na kutokea hitilafu za kupasuka kuta zake kabla ya ujenzi kumalizika na mkandarasi husika kuingia miti. SWanaomba kuchukuliwa hatu za kulivunja jengo hilo kuepusha kuleta athari zaidi katika eneo hilo. (Picha na Haji Nassor, Pemba).
TANZANIA INA MAFUTA YA KUTOSHA,LICHA YA BEI KUPANDA KUTOKANA NA VITA YA
MASHARIKI YA KATI
-
*Mabadiliko ya bei za mafuta nchini kwa mwezi Aprili 2026 yamechangiwa kwa
kiasi kikubwa na vita inayoendelea kati ya Marekani kwa kushirikiana na
Isr...
2 hours ago

0 Comments