Gari la Baraza la Manispa Zanzibar likiwa katika zoezi la kuliondoa gari
lililoegeshwa katika eneo lisilo stahiki kwa matumizi ya maegesho ya magari katika eneo hilo la majestiki.
TASAC YATAKA WANANCHI KUTUMIA VYOMBO VILIVYOIDHINISHWA KUBEBA ABIRIA
-
Na Mwandishi wetu
Shirika la Uwakala wa Meli Tanzania (TASAC) limewataarifu wananchi
wanaotumia usafiri kwa njia ya maji kutumia vyombo vya usafiri majini ...
19 minutes ago
0 Comments