Kipa wa Timu ya Polisi Zanzibar akiwa na mpira wakati wa mchezo wao wa kirafiki na Timu ya Korea Kusini mchezo uliofanvika uwanja wa Amaan Zanzibar Timu ya Plisi imeshinda bao 1--0.
Serikali Yatajivunia Mafanikio ya Maboresho ya Bandari ya Dar es Salaam
Katika Siku 100 za Uongozi wa Rais Samia
-
Na Avila Kakingo, Michuzi Tv
MSEMAJI wa Serikali na Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na
Michezo, Gerson Msigwa, amesema Serikali ya Awam...
5 hours ago
0 Comments