Wachezaji wa Timu ya Daraja la Pili Wilaya ya Mjini Unguja wakijinoa na msimu ujao wa Ligi hiyo kwa msimu 2017/2018 wakiwa katika viwanja vya mnazi mmoja wakiwa katika mazoezi ya viungo chini ya Kocha wao Mkuu Juma Sumbu.
Sekela Apongeza Uongozi wa Rais Samia Katika Kuinua Wanawake
-
Na Pamela mollel,Arusha
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, amepongezwa
kwa juhudi zake za kuhamasisha wanawake kushiriki kikamil...
47 minutes ago
0 Comments