6/recent/ticker-posts

Kikosi cha Timu ya Okapi Inayoshirili Ligi Kuu ya Zanzibar Nane Bora.

Wachezaji wa Timu yac Okapi kutoka Kisiwani Pemba wakiwa katika mazoezi yao ya kujitayarisha na mchezo wao wa Ligi Kuu ya Zanzibar Nane Bora na Timu ya Jangombe Boys inayotarajiwa kufanyika katika uwanja huo siku ya jumatano jioni Wakiwa chini ya Kocha wao Mkuu Hafidh Shoka.



Post a Comment

0 Comments